Mchengerwa, Makonda; Nyani na Ngedere

Polepole alisema, CCM ukiwa mkweli utapigwa vita ya hatari! Akina Laizer walikuwa wanapata madini yanatangazwa hadhrani, Toka magu ameondoka umesikia tena madini yamepatikana?
Wewe , MM Msese na Gambo mmeibua hoja mbili muhimu sana.
 
😆😆😂😂
JF Kuna raha sana.
Watu wanafunguka huku wakitumia ustadi mkubwa wa kuwasilisha hoja kwa vichekesho na maneno makali.
 
"
😆😆😂😂
JF Kuna raha sana.
Watu wanafunguka huku wakitumia ustadi mkubwa wa kuwasilisha hoja kwa vichekesho na maneno makali.
" A child can play with the breast of her mother, but can't play with testes of his father"

Yoweri Kaguta Muse 7 🤣🤣🤣
 
Imetoka hiyo! Lingekuwa lile Bunge la Hayati Samuel Sitta, labda kingeeleweka. Bunge la Speaker wa Mama ni lundo la chawa—halina balls za kushughulika na tuhuma zinazogusa mtandao wa design hii.
 
"
" A child can play with the breast of her mother, but can't play with testes of his father"

Yoweri Kaguta Muse 7 🤣🤣🤣
Based on mismatched organs. Usemi wake ulipaswa uhusishe clitoris na testes (a fair match)!
 
Reactions: Lax
Mchengerwa ni mpigaji sana aliwa Maliasili alikua anaenda Ngorongoro kulazimishwa apewe pesa na Menejiment, kuna jamaa anaitwa Bajuta(alikua Naibu Kamishina) alimnyima Mchengerwa pesa , Mchengerwa akamfanyia Zengwe akapew U-DC ,.wakati anapewa UDC ,Mchengerewa akaw WAZIRI WA TAMISEMI kufika huko pia akamla kichwa kwa chuki tu zisizo na maana.
Kwa hiyo jamaa ni mpigaji haswaa
 
Maspana
 
Kama Mh. Mambo anayajua yote haya kwanini aliomba msamaha!?
 
Dah
 
Mkwe anajua Makonda a.k.a. Bashite ni kipenzi cha mkwewe.
 
Polepole alisema, CCM ukiwa mkweli utapigwa vita ya hatari! Akina Laizer walikuwa wanapata madini yanatangazwa hadhrani, Toka magu ameondoka umesikia tena madini yamepatikana?
Huyo samia mwenyewe Ana nduguze kibao wenye makampuni hapo mererani. Nchi hii inakosa wandishi wa habar za uchunguzi. Badala yake unawategemea wandishi njaa kina balile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…