Mchengerwa: Rais ameridhia kuipandisha hadhi Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji. Soko kubwa na Stendi kuanza kujengwa

Kama ikwriri inapewa hadhi ya Halmashauri ya Mji ni muda sasa kwa Halmashauri yetu ya Mji wa Masasi kuwa Halmashauri ya MANISPAA ya Masasi
 
Kanda ya ziwa Kuna mawaziri wa wawili tu.
1. Mh Mashaka doto
2. Mh innocent bashungwa
 

Haina tofauti na Chato ni undugu tu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…