una huduma kata gani, wilaya gani mama 🐒Hongera Rais Samia.
Ila mawaziri acheni kutukuza sana kaz za Rais. Hapo tumia maneno ya kumuombea Mh Rais.
Kwenye elimu maafisa elimu wana shida ni kama miungu watu. MCHENGERWA fuatilia maafisa hawa ni Machawa na mamalaya. Wengine wanajiona kama kwamba hawatasitaafu.
Ile 900,000/= wanaita posho ya kisheria inawapa jeur sana mnapodai posho ya madaraka ya mwl mkuu na mratibu huyu mwl hamumuoni?
Haya mambo ya kutoa posho kwa baadhi ya wakuu wa idara hayana tija kwa sababu yanawadiscourage wale wanaomsaidia huyo mkuu.Mfano ofisi ya elimu wilaya ina maafisa wa vitengo wanne au watano wote hawapewi isipokuwa huyo mmoja licha ya kwamba watendaji wakuu wa kazi za ofisi ni hao.Serikali ingeona namna ya kuwapatia nao hata kama si kwa amount kama ile ya boss wao .Posho ya madaraka Kwa afisa elimu ni Laki Tisa?