Mchengerwa: Utaratibu unaotumika stesheni ya SGR Dodoma ni mbovu

Mchengerwa: Utaratibu unaotumika stesheni ya SGR Dodoma ni mbovu

Utendaji wa wabongo unanikeraaa na mara nyingi hawajui outside world mambo yapoje yaani tumekaa kicongoman congoman kukata viuno tu na kunywa pombe . Nchi nzima haina customer care
 
Mkuu naona ilipanda train ya kawaida bila kujua economy class ni 50,000 mtoto chini ya 13yrs ni nusu yake mkuu chunguza zaidi.
Itakuwa ile Express ya saa 12 asubuhi
 
Utendaji wa wabongo unanikeraaa na mara nyingi hawajui outside world mambo yapoje yaani tumekaa kicongoman congoman kukata viuno tu na kunywa pombe . Nchi nzima haina customer care
Nchi imejaa malibukeni ya viongozi na wanao ongozwa SGR olikua fursa kubwa kupunguza high way traffic na ajali barabarani wangepatikana watu ambao wanajua biashara vizuri kwani uweke naili 50000 mpaka dodoma upate abiria robo wakati ungeweka 20k utafanya kazi siku nzima.
 
1. Mkuu wa mkoa wa Manyara
2. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma
3. Waziri wa Afya
4. Mkurugenzi Moshi manispaa
5. DC Nyang'wale
6. Mkurugenzi wa Halmashauri Nyang'wale.

Hili kundi ni kundi la kujirusha kwenye mirandao,ili Rais aone wanachapa kazi,ila, ukweli utendaji wao ni mbovu kabisa.
 
Nafikiri sio Dodoma pekee
Nilifika Morogoro ambacho ni kituo pengine cha piki kwa ukubwa; pamoja na kuwa hakina usafiri wowote wa umma tofauti na boda na bajaji; mtu akienda na gari anachajiwa kama vile hawataki magari; kushusha abiria hela, kupakia abiria, hela kuacha gari ndio kabisa mahela....na hawajaweka mahala pa kushusha abiria kwa nje lazima uingie ndani ili ulipe....naona hii haijakaa sawa sawa. Muheshimiwa akapite na huko, hakuko poa....
Hivi kweli kwa karne hii mamlaka inategemea watu 800 wasafirishwe kwa bajaji kwenda kituo cha treni???

Kwa nchi za ULAYA wao wameweka gharama kidogo sana kuacha magari kwani wanashawishi watu watumie treni ili kupunguza msongamano barabarani lakini pia kupunguza hewa ya ukaa/pollution ....mbona hayo mambo mazuri hatuigi???
SHITHOLE COUNTRIES NA MAMBO YA DUNIA YA KWANZA WAPI NA WAPI!!!
 
Utendaji wa wabongo unanikeraaa na mara nyingi hawajui outside world mambo yapoje yaani tumekaa kicongoman congoman kukata viuno tu na kunywa pombe . Nchi nzima haina customer care
shithole countries!!!
 
Nchi imejaa malibukeni ya viongozi na wanao ongozwa SGR olikua fursa kubwa kupunguza high way traffic na ajali barabarani wangepatikana watu ambao wanajua biashara vizuri kwani uweke naili 50000 mpaka dodoma upate abiria robo wakati ungeweka 20k utafanya kazi siku nzima.
Kuna SGR Trains za aina 3 zenye bei tofauti kwenye kila aina ya train. Kutoka Dar kwenda Dodoma Ordinary ya SGR Economy Class ni TShs. 31,000/= na ile Express ambayo bei yake ni TShs. 50,000/=. Ile ya Royal Express haina daraja la Economy.
 
Back
Top Bottom