Mchengerwa: Utaratibu unaotumika stesheni ya SGR Dodoma ni mbovu

Bei ni kubwa haiwexi kuongezeka itashuka tu tangia hapo ma behewa ni under capacity kubwa unakuta behewa la watu 70 kuna abiria 20 au 15 tu.
Sawa.
 
Utendaji wa wabongo unanikeraaa na mara nyingi hawajui outside world mambo yapoje yaani tumekaa kicongoman congoman kukata viuno tu na kunywa pombe . Nchi nzima haina customer care
 
Mkuu naona ilipanda train ya kawaida bila kujua economy class ni 50,000 mtoto chini ya 13yrs ni nusu yake mkuu chunguza zaidi.
Itakuwa ile Express ya saa 12 asubuhi
 
Utendaji wa wabongo unanikeraaa na mara nyingi hawajui outside world mambo yapoje yaani tumekaa kicongoman congoman kukata viuno tu na kunywa pombe . Nchi nzima haina customer care
Nchi imejaa malibukeni ya viongozi na wanao ongozwa SGR olikua fursa kubwa kupunguza high way traffic na ajali barabarani wangepatikana watu ambao wanajua biashara vizuri kwani uweke naili 50000 mpaka dodoma upate abiria robo wakati ungeweka 20k utafanya kazi siku nzima.
 
1. Mkuu wa mkoa wa Manyara
2. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma
3. Waziri wa Afya
4. Mkurugenzi Moshi manispaa
5. DC Nyang'wale
6. Mkurugenzi wa Halmashauri Nyang'wale.

Hili kundi ni kundi la kujirusha kwenye mirandao,ili Rais aone wanachapa kazi,ila, ukweli utendaji wao ni mbovu kabisa.
 
SHITHOLE COUNTRIES NA MAMBO YA DUNIA YA KWANZA WAPI NA WAPI!!!
 
Utendaji wa wabongo unanikeraaa na mara nyingi hawajui outside world mambo yapoje yaani tumekaa kicongoman congoman kukata viuno tu na kunywa pombe . Nchi nzima haina customer care
shithole countries!!!
 
Kuna SGR Trains za aina 3 zenye bei tofauti kwenye kila aina ya train. Kutoka Dar kwenda Dodoma Ordinary ya SGR Economy Class ni TShs. 31,000/= na ile Express ambayo bei yake ni TShs. 50,000/=. Ile ya Royal Express haina daraja la Economy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…