Mchengerwa: Wakileta pesa zao pokeeni lakini kura kwa mchengerwa

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wakuu

=====
Leo nimeamka na CCM,

Nasikia sikia kuna watu wanapitisha viela vyao ili kuwadanganya,naomba niwaambie kitu kimoja,wakileta hizo pesa zao pokeeni na kuleni lakini ikifika wakati wa kupiga kura basi kura zote kwa Mchengerwa.

"Hao wanaoleta hizo pesa nadhani wanatoa sadaka na nyie msikatae hizo sadaka zao.Asitokee mtu akawadanganya mtu pekee wa kuwaletea maendeleo ni mimi" Mbunge wa Rufiji na waziri wa Tamisemi,Mohamed Mchengerwa
 
Hawa CCM watauana, hapo kapeleka ujumbe kwa CCM mwenzake 🤣
 
Mtu na mama mkwe wake wameanza kufanya kampeni kabla ya muda lakini hutasikia yule hawara wa Lembrus Mchome akisema kitu hapo.
 
Back
Top Bottom