Hawa CCM watauana, hapo kapeleka ujumbe kwa CCM mwenzake 🤣Wakuu
=====
Leo nimeamka na CCM,
Nasikia sikia kuna watu wanapitisha viela vyao ili kuwadanganya,naomba niwaambie kitu kimoja,wakileta hizo pesa zao pokeeni na kuleni lakini ikifika wakati wa kupiga kura basi kura zote kwa Mchengerwa.
"Hao wanaoleta hizo pesa nadhani wanatoa sadaka na nyie msikatae hizo sadaka zao.Asitokee mtu akawadanganya mtu pekee wa kuwaletea maendeleo ni mimi" Mbunge wa Rufiji na waziri wa Tamisemi,Mohamed Mchengerwa
Dah, CHAUMA ACT sijui wataambulia wapi, yaani maFISIEMU wamejipanga, wanasomba kila kitu, hawabakizi!Hawa CCM watauana, hapo kapeleka ujumbe kwa CCM mwenzake 🤣
Anazuga tu. Waziri TAMISEMI ndio kila kitu, inaweza kuwa ndio anamiliki 70% ya watumishi wote TZ.Siasa ni hatari ,mchengerwa nae anaogopa kushindwa au mimi sielewi .