Hajakuelewa ulipoandika K umemaanisha nini labda umeandikie hapa nini umemaanishaWiki ijayo nimepanga kwenda mkoa flani wenye baridi naenda kwa shughuli zangu binafsi but kuna single mom mmoja nilimpata huko mwezi wa kwanza sasa nimemwambia nakuja next week kaanza kuagiza bidhaa
View attachment 1104190
Numbisa hii kitanda au gari,Geto lako liko hiviView attachment 1103480 una ndoto za kumiliki slay queen pole sana
Numbisa hii kitanda au gari,
Daah. mambo ni fireNi kitanda mfumo wa gari