Mchepuko hauchungwi

Mchepuko hauchungwi

Kama hutaki kuwa na msongo wa mawazo, unatakiwa uelewe kuwa mchepuko hauchungwi; muda ule unapokuwa naye ndio muda wa wewe kummiliki na kujivinjari uwezavyo.

Ukiondoka eneo la tukio, usimuweke kichwani. Pambana na mambo yako mengine; vinginevyo, utatafuta msongo wa mawazo; na kuwa na magomvi na kila mtu.

Mchunge mkeo/mumeo, ila mchepuko hauchungwi.
Baki njia kuu, Mchepuko sio dili...
 
Back
Top Bottom