Mchepuko kupiga kelele kero kwa majirani

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
264
Reaction score
380
Wadau mwenye nyumba wangu kaweka tangazo eti marufuku mtu kupiga makelele pindi wawapo sita kwa sita jamanii huu ni uonevu wa Hali ya juu
 
Kwahiyo mwenye nyumba wako anakuita wewe mteja?
Na anasema by utawala?

Hii picha ilitrend whatsapp mwaka jana.

Mods Uzi uende jukwaa la jokes
 
tafran,wengine wanafanya kusudi kutaka kula hela za ma lofa tuu, kwa raha gani mpaka unapiga kelele kuudhi wenzio..
 
Wapige kelele kwa kuvaibreti sio kwa laudi spika
 
Kwahiyo mwenye nyumba wako anakuita wewe mteja?
Na anasema by utawala?

Hii picha ilitrend whatsapp mwaka jana.

Mods Uzi uende jukwaa la jokes
Mkuu.......
Punguza kukosoa sana watu na kufuatilia watu, posti nyingi za wana jf unawakosoa vibaya, na kwa kejeli. Acha kabisa mkuu. Badilika.
 
Mkuu.......
Punguza kukosoa sana watu na kufuatilia watu, posti nyingi za wana jf unawakosoa vibaya, na kwa kejeli. Acha kabisa mkuu. Badilika.
Duh mwanangu wa uchagani upo?

Sasa hapo kejeli iko wapi mzazi?
 
Hiyo inaitwa pumzi kundani yaani no makelele!
 
Mchepukoo anatak kula ela yako kilahic mnyime ela uone kama atapiga kelele ivooo itakiw kimya tena anakwambia bby nimechoka sanaa leoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…