Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 380
Wadau mwenye nyumba wangu kaweka tangazo eti marufuku mtu kupiga makelele pindi wawapo sita kwa sita jamanii huu ni uonevu wa Hali ya juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu.......Kwahiyo mwenye nyumba wako anakuita wewe mteja?
Na anasema by utawala?
Hii picha ilitrend whatsapp mwaka jana.
Mods Uzi uende jukwaa la jokes
Duh mwanangu wa uchagani upo?Mkuu.......
Punguza kukosoa sana watu na kufuatilia watu, posti nyingi za wana jf unawakosoa vibaya, na kwa kejeli. Acha kabisa mkuu. Badilika.