Mchepuko mpya wa wanawake wagundulika

Mchepuko mpya wa wanawake wagundulika

Aliwahi kuleta hiyo mada ya hicho kibomba cha toilet humu humu jf member mmoja anaitwa Dinazarde kama sijakosea, alielezea na matumizi yake
 
Leo waifu atakuta kopo tu, naenda kufyekelea mbali hicho kidubwasha.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nikifika home simuulizi kitu wife nanyoosha washroom kung'oa iki kidude halaf nione atauliza kitu ama laaa haiwezekani iki kidude kinisaidie kazi
Acha wivu mkuu, Bora hako kadude kuliko mkuyenge wa kidume
 
Hapa tutaelewana tu
IMG-20190210-WA0019.jpeg
IMG-20190210-WA0020.jpeg
IMG-20190210-WA0022.jpeg
IMG-20190210-WA0021.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom