Mchepuko namba D

Daaah basi tu kwa sababu Africa tunaamini kwenye ndoa za kudumu ila kitu MILF ni raha sana yani sana...
Ni B flani nzuri mno kwa ladha kuliko hata D
Experience makes something better
Thanks for your experience
 
So UTI na gono ni nyingi sana kwa namba D!!?
 
Lawama zote kwa ccm
 
Naomba kufahamu hizo namba zote tafadhali...
 
Wanazingua kweli yaani

Kuna mmoja aliniuliza "Mu" utanioa Nikamwambia mwenge "Hauvuki Kijiji"

Bikra katoa nani Mimi nije kuoa acheni kufananisha ndoa na vitu vya kijinga"
Bikra sio kigezo cha ndoa, vigezo vipo vingi vya kutangaza ndoa hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…