Toosie Slide
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 788
- 955
Namba D tutazitafuta 2030
Ila umeongea ukweli mtupu
Ila umeongea ukweli mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habarini za leo wana MMU, katika utafiti wangu nimegundua kuwa kuwa michepuko namba D ( mabinti waliozaliwa 1998-2002)wanachangamoto zifuatazo
1. Wana tamaa ya pesa , Kuna tofauti ya kupenda pesa na kuwa na tamaa ya pesa
2. Wana tamaa ya maisha mazuri bila kujua maisha mazuri ni process ya muda mrefu na mipango
3. Wanapenda shortcut, na kiwango Chao Cha kuvumilia Mambo na upembuzi wa Mambo ni mdogo
4. Wanaamini mahusiano ya kimapenzi ni suluhisho la kila tatizo linalowakabili
5. Ndiyo wale wanaosomeshwa...na kuamua kutimka mbele na kusahau waliowasomesha( msemo wa mchumba hasomeshwi asili yake ni Hawa)
6. Wanapenda starehe sana
Karibu uongezee uzoefu wako.....
NB. Ukiwa na mchepuko namba D, akitaka kwenda muache aende maana huwa hawadumu kwenye mahusiano!
hazikawii kuomba SamsungAchana na hizo namba D zitakupa presha, chukua namba B au C ambayo ameshakwanguliwa kwanguliwa na ishapigwa rangi huku side mirror zishavunjwa na kubadilishwa bila kusahau taili zote vipala na bima imekwisha kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Milele Amen!!Jumapili njema.tumsifu Yesu kristu.