''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

Wanaume tuzingatie mwanamke wa kuchepuka nae aisee, mbona jamaa alikuwa na mke pisi kali hvy sasa ikawaje akaingia kwa huyo mwngn hana ht mvuto
 
Wanaume tuzingatie mwanamke wa kuchepuka nae aisee, mbona jamaa alikuwa na mke pisi kali hvy sasa ikawaje akaingia kwa huyo mwngn hana ht mvuto
Kuna kitu kilimvutia ambacho hakionekani kwa jicho.
Kwani mgodi ukiuangalia kwa juu unaweza kujua kwamba unatema madini? Si mpaka uingie ndani.
 
Wanafata maandiko kuwa mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa nikono yake mwenyewe
 
Akae kwa kutulia anataka mgao which! Si alizoea kufichwa basi abaki huko huko mafichoni hakuna kupata hata kijiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…