''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

Wewe ukifa utapaje aibu wakati hujui linaloendelea? Kwa mwanaume hilo si ajabu kuwa na mtoto nje na wala haiwezi kuwa aibu. Kikubwa no kupatata uthibitisho basi inatosha
 
Wanakwaya wengi ni wanzi Sana,nishakutana na kitu kizito kwa Wana kwaya nikaapa bora Kama kuoa nioe mhudumu ata wa bar
 
Kwani kafanya kosa gani hapo? Si huwanajificha msijulikane Ili muende Mbinguni,Toeni Urithi Kwa mtoto
 
Kosea yote maishani ila usije kosea kutembea na mwanamke wa ovyo.

Na kuchepuka kupo ila ikishakuwa umeoa inabidi u control kusikilizia utamu kupitiliza.

Huyu demu amekaa kimaslahi zaidi. Hakuna chembe ya uchungu kwenye sura yake.
Uchungu? Ni alikuzaa? Hapo ana uchungu na Watoto wake aliozaa na marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…