kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Huu mchepuko bana ulikua ndio my first girl kumjua ila kutokana na sababu za hapa na pale tukajikuta hatukuweza kuoana ila tumebaki kudinyana tu kimya kimya.
Sasa bana leo ilikua ni anniversary ya ndoa yangu mimi na wife,nimepost WhatsApp picha yangu na wife ya siku ya ndoa yetu na nikaandika haya maneno "MAY YOU KEEP THIS SMILE FOR ME FOREVER SWEET DARLING"
Nashangaa mtu kanitumia text ya makasiriko wakuu ukizingatia nae ni mke wa mtu tayari.
Nifanyeje wakuu?