Mchepuko umeninunia kisa nimeandika hivi kwenye status.

Huu mchepuko bana ulikua ndio my first girl kumjua ila kutokana na sababu za hapa na pale tukajikuta hatukuweza kuoana ila tumebaki kudinyana tu kimya kimya.
Sasa bana leo ilikua ni anniversary ya ndoa yangu mimi na wife,nimepost WhatsApp picha yangu na wife ya siku ya ndoa yetu na nikaandika haya maneno "MAY YOU KEEP THIS SMILE FOR ME FOREVER SWEET DARLING"
Nashangaa mtu kanitumia text ya makasiriko wakuu ukizingatia nae ni mke wa mtu tayari.
Nifanyeje wakuu?
Hongera kumiliki mbususu mbili.
 
Huyo mchepuko wako Bado ni mke wako wa kiroho na wewe ni mume wake wa kiroho kwakuwa Bado mnaendelea kunyanduana.

Kwahivyo lazima akasirike Akikuona umemposti.
 
Tupate mapumziko mafupi..mtazamaji wa ITV kula chuma iko
Screenshot_20230402_070853_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom