kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Kumbe 😀😀😀😀Sema nawe huo ujumbe wako kuna watu flani flani (akiwemo huyo mchepuko wako)ulilenga kuwarusha roho.
Wenzio wenye michepuko huwa hatupost kabisa chochote,huwa tunajidai tuko busy au tunaiblock michepuko pale inapobidi.
Kwanini wakiristo wana sherekea anniversary ya ndoa zao, limeandikwa kwenye bibulia au ni limbukeni wa hao watu eti wanaiga wazungu.Huu mchepuko bana ulikua ndio my first girl kumjua ila kutokana na sababu za hapa na pale tukajikuta hatukuweza kuoana ila tumebaki kudinyana tu kimya kimya.
Sasa bana leo ilikua ni anniversary ya ndoa yangu mimi na wife,nimepost WhatsApp picha yangu na wife ya siku ya ndoa yetu na nikaandika haya maneno "MAY YOU KEEP THIS SMILE FOR ME FOREVER SWEET DARLING"
Nashangaa mtu kanitumia text ya makasiriko wakuu ukizingatia nae ni mke wa mtu tayari.
Nifanyeje wakuu?
Hayo mambo ya ndoa yenyewe si mmeletewa na hao hao?Kwanini wakiristo wana sherekea anniversary ya ndoa zao, limeandikwa kwenye bibulia au ni limbukeni wa hao watu eti wanaiga wazungu.
ukiendelea hivi utachapiwa mchepuko 😂Huu mchepuko bana ulikua ndio my first girl kumjua ila kutokana na sababu za hapa na pale tukajikuta hatukuweza kuoana ila tumebaki kudinyana tu kimya kimya.
Sasa bana leo ilikua ni anniversary ya ndoa yangu mimi na wife,nimepost WhatsApp picha yangu na wife ya siku ya ndoa yetu na nikaandika haya maneno "MAY YOU KEEP THIS SMILE FOR ME FOREVER SWEET DARLING"
Nashangaa mtu kanitumia text ya makasiriko wakuu ukizingatia nae ni mke wa mtu tayari.
Nifanyeje wakuu?
Huu mchepuko bana ulikua ndio my first girl kumjua ila kutokana na sababu za hapa na pale tukajikuta hatukuweza kuoana ila tumebaki kudinyana tu kimya kimya.
Sasa bana leo ilikua ni anniversary ya ndoa yangu mimi na wife,nimepost WhatsApp picha yangu na wife ya siku ya ndoa yetu na nikaandika haya maneno "MAY YOU KEEP THIS SMILE FOR ME FOREVER SWEET DARLING"
Nashangaa mtu kanitumia text ya makasiriko wakuu ukizingatia nae ni mke wa mtu tayari.
Nifanyeje wakuu?
We mwenyewe ku-comment hapa umeiga kutoka kwa wazungu, una kitu gani chako wewe kama mu-Afrika unachokitenda ambacho haujaiga kutoka kwa wazungu!?Kwanini wakiristo wana sherekea anniversary ya ndoa zao, limeandikwa kwenye bibulia au ni limbukeni wa hao watu eti wanaiga wazungu.
Walikosa vikao[emoji23]Mkuu utakuwa unaishi pori sana! Town tunaenda na hiiView attachment 2582476