Mchepuko unakaribia kuvunja ndoa yangu

Ushauri wa bure wanaume mjifunze kubalance shobo. Ukiwa na mchepuko hakikisha uzito una elemea kwa wife home mzani huu haufati kanuni za beam balance.
Ukiwa na wawili lazima utampenda zaidi mchepuko.. unamsimulia madhaifu ya mkeo... So ANAkuwa anajua Nini afanye.. mke hasimuliwi ya mchepuko
 
Reactions: Luv
Utakuwa mgeni wa mapenzi, ndio maana uliwekeza sana kwake- mchepuko kiasi kwamba sasa umekuwa mateka wake. Hivyo hutaki kukubali kusemacsasa basi au kama ni kuendelea ni kwa jinsi wewe utakavyo one sio yeye
 
Kama uchawi upo UMEROGWA, mke wako nae atachola atakuja kutombwa na wana kama sisi TUNAWAPENDA WANAWAKE TUNAWAJALI KIMAPENZI, mkuu UTAIA
SIKU SI MINGI
 
Kwanza nikurekebishe asili ya mwanaume sio
Kwanza nikurekebishe asili ya mwanaume sio kuchepuka, you committed fallacy of generelization. Kuchepuka ni tamaa ya baadhi ya mwanaume.

Mchepuko hawezi kuvunja ndoa tatizo ni wewe, that why you have intellect, and you are free to choose uwe naye au usiwe naye.
 
Daah nimeshangaa yaan mtu unashindwa kujitoa mwenyewe. Anyway labda kuna nguvu ya ziada
Hakuna nguvu ya ziada hapo mkuu. Kitu chochote ukishakitengenezea uraibu/addiction ni ngumu sana kukiacha kwa haraka, mifano: betting, unywaji wa pombe/soda/juisi, uvutaji wa sigara, kula ugolo nk.
 
Kila la kheri mkuu kwenye utekelezaji wako wa uchakataji wa michepuko
 
Kama umefunga ndoa ya kanisa katoliki, nakushauri nenda ukaungame, matatizo yako na mchepuko yataanza kupungua kuanzia hapo.
 
Fanya maamuzi magumu, mwambie tuu wewe umeshaamua kumrudia Mungu wako umeachana na mambo ya ki-malaya malaya.sababu una safari ya kwenda mbinguni
 
Nimeona dada yangu,tatizo kuna wanaume wenzetu wanaharibu kwelikweli. Kwa mwanaume kama huyu sio tu kumfulia wakati umenuna,hata ukimpakulia nyama mpe kipande kimoja kidogo huku watoto ukiwajazia.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Au kamchuzi tu tunampa
 
Rudi kwa mkeo haraka sana maana siku akigundua unamsaliti utajuta kuoa wakati huo na mchepuko atakuwa haeleweki. Utakosa bara na pwani kwa tamaa zako zisizo na maana hata kidogo. Omba Mungu sana kwa imani yako akunasue maana huenda mchepuko ameshakulisha limbwata siku nyingi sana. Akili kichwani mwako.
 
Kama umefunga ndoa ya kanisa katoliki, nakushauri nenda ukaungame, matatizo yako na mchepuko yataanza kupungua kuanzia hapo.
Hivi ukitenda dhambi unalikosea kanisa au Mungu... Kwanini umwambie mtu madhambi yako alafu akwambie umesamehewa
 
Wewe ni mtu very weak, ungekuwa mnyama wa porini ungeshakuwa umeliwa zamani. Yaani unatekwa na mchepuko na kushindwa kumuwekea boundaries? Take it from me hata kama ungekuwa umemuoa huyo mchepuko angekupeleka puta kama ndondocha, na ukumbuke kuna wanawake ambao wana enjoy kuwa command wanaume zao, tena akina na mashoga zake anawasimulia "yaani yule mpuuzi jana nikamuita saa tano usiku makusudi ili nimuonyeshe kwamba mimi ni zaidi ya kile kinyago chako (mke wake), na akaja mbio... nikahakikisha nimemkamua mpaka akirudi kwa hiyo mkewe ni kulala tuu".... Muda si mrefu utakuwa ndoa huna na utashangaa mchepuko atakuacha maana ana hasira za wewe kumuacha na kuoa mwingine (kama mlijuana zamani) au ni kisirani tuu kwamba kwa nini huyu mwanaume sikumpata mimi kabla??
 
Stick na mke wako kenge ww. Kwenye statement yako unasema kuwa mke wako ni mke mzuri mcha Mungu.

Stick na huyo mcha Mungu. Mchepuko una nguvu sababu umeshakuwa addicted. Achana na mchepuko save ndoa yako.
Ukiendekeza tamaa hata hiyo ndoa utaikosa
Hata mke wake huo ucha Mungu akazane kuna vitu bado ana miss inatakiwa aone huo uzinzi wa Mumewe kabla mumewe hajafanya.ili aombe kuzuia shetan huyo kuchanganya mafile
 
Mkuu pole sana , ila umekosea sana kutujumuisha wanaume wote kwenye upuuzi wako,ulitakiwa kujilaumu mwenyewe na sio kiuaminisha umma kuwa wanaume wote ni wachepukaji
 
Mkuu vipi mchepuko keshavunja ndoa yako? Maana Ni siku 3 na masaa 6tangu ulete bandiko..

Mrejesho tafadhali[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…