Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekituliza mbona ila nataka kufanya msaada tuuWewe mwanaume kitulize nyumbani kwako
kivipi wakati mtu yupo single na alitaka anipeleke kwake nikakataa.Mtego huo mkuu
nikweli mzee na pesa najua kuitafuta[emoji23] mle tuu .ila hakikisha unatafuta pesa sio nyumba kubwa pawe pa hovyo hovyo
We jamaa hiyo ID ilotokea bahati mbaya au ndio uliandika hivyo [emoji23]hivi mastori ya jf kweli yanatokea mtaani?
xtor zing za kutunga mkuuWe jamaa hiyo ID ilotokea bahati mbaya au ndio uliandika hivyo [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
alikuwa anajikanda miguu au nini hasa.maana mingine ni miuongo ya kutupwa.umefanywa mshamba ka msukumamuhali gani wana jamvi,
Nimekutana na changamoto ambayo sikupanga kupitia katika maisha...
nikiwa nimetengana na mke wangu kwa mda kama wa mwezi hivi kwa sababu za kiuna ndoa ndipo nikakutana na huu mchepuko.
mchepuko ulikua umegombana na mumewe na wametengana mazima kwakua alikua amemtelekezea watoto bila matumizi huku jamaa akila bata wakati yeye akiwa na hali mbaya kiuchumi kweli kweli.
stori ilianzia palealipokua anaongea na mumewe wakaanza kutukanana ikabidi ni mtulize kumfariji kama binadamu mwenzangu.
ghafla tukajikuta tumeanza mahusiano kiushkaji kama ''friend with benefit'' kwakua wote tulikua na maumivu ya mapenzi kipindi hicho.... so siku moja tukakubaliana kupeana mambo ikawa fresh japo kamoja na nextday pia ikawa kamoja pia.
baada ya hapo nikarekebisha mambo yangu na wife ikabidi nirudi nyumbani kwangu nikamwambia asinitafute na kweli alitii japo alikua anashindwa kuvumilia akawa ananitumia msg za salaam tuu.
sasa juzi kati kakomaa anataka kuonana mimi baada ya zaidi ya mwaka tangu kuachana kuonana ikabidi nikubali tuu kuonana nae.
nakutana nae mara ya kwanza nikashangaa mtoto amenenpa na anamiliki maduka lakini eti hana mwanaume yeyote zaidi alikua ananisubiria mimi kipindi choote maana hajawahi kupenda mwanaume ka anavyonipenda mimi.
kiukweli anaonesha machoni anachokisema kwamba ananipenda ni kweli kabisaa maana nikimgusa tuu anasisimka kimahaba mpaka namuonea huruma yaani hataki hata ni mshike nikimshika anapata hisia za naniliu ikiingia...😵😵anasema nikimwangalia ndio kabisaaaa...... jamani jamnii huyu mwanamke kaniacha hoi kwa hio staili nimebaki mdomo wazi...
anasema nimpe nafasi anitumie atakavyo hatosumbua ndoa yangu maana hanashida na mke wangu anamheshimu saana.... kikubwa nisiutese moyo wake na amekua akijikanda na maji ya moto kipindi choote kwa ajili yangu sasa anahitaji nimpe vitu vyangu kwa uhuru asiutese moyo wake...
jamani anatia huruma kwa kweli sijui nifanyeje huyu mtu maana nikikumbuka alikua mtamu kila nilipotaka kutumia aliniruhusu laah haulaah jamani...dhambi hizi
nifanyeje jamani?