Mchepuko unaniacha mdomo wazi

Inaonekana point kubwa hapo inayokushawishi ni hayo maduka aliyonayo. Best luck brother.
 
Wewe jichanganye tu uteketeze familia yako
 
Nahama Dar es Salaam
 
Unaandaliwa kuwa mbuzi wa kafara unadhani mari kapata bule bila masharti nenda utakuwa hera wewe utese wanao na mkeo tafakari kabla ya kutenda
 
[emoji23] mle tuu .ila hakikisha unatafuta pesa sio nyumba kubwa pawe pa hovyo hovyo
 
Mwanaume akianza kuwaza na kichwa cha chini baaasi Tena...
 
Fanya vile moyo wako unapenda ila utavuna utakachopanda
 
alikuwa anajikanda miguu au nini hasa.maana mingine ni miuongo ya kutupwa.umefanywa mshamba ka msukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…