miminimkulimaakachekasana JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 3,263 Reaction score 4,730 Aug 20, 2018 #41 xtaper said: We jamaa hiyo ID ilotokea bahati mbaya au ndio uliandika hivyo [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... HAIKUA BAHATI MBAYA MKUU
xtaper said: We jamaa hiyo ID ilotokea bahati mbaya au ndio uliandika hivyo [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... HAIKUA BAHATI MBAYA MKUU
Tall Guy fam JF-Expert Member Joined Jan 16, 2017 Posts 917 Reaction score 1,093 Aug 20, 2018 #42 Achana naye..nigga be a man.
Tall Guy fam JF-Expert Member Joined Jan 16, 2017 Posts 917 Reaction score 1,093 Aug 20, 2018 #43 Unadanganywa!
nsanzu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4,673 Reaction score 5,402 Aug 20, 2018 #44 Enyi wanawake narudia tena hapa kuwaambia. "Si kila mwenye uume anastahili kuwa mumeo na baba wa Familia yenu."
Enyi wanawake narudia tena hapa kuwaambia. "Si kila mwenye uume anastahili kuwa mumeo na baba wa Familia yenu."
monde arabe JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 8,781 Reaction score 13,444 Aug 20, 2018 #45 Hii Dunia ina maajabu mengi sana! Sent using Jamii Forums mobile app
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Jun 23, 2021 #46 Muosha huoshwa[emoji2]
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Jun 23, 2021 #47 Karma[emoji3525]
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Jun 23, 2021 #48 Ila michepuko watamu wakuu au nasema uongo ?