EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,565
- 1,918
Wakuu hamjambo aisee.
Mmefanikiwa na kubarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni.
Moja Kwa moja naanza, nilihamia kikazi mkoa Fulani kanda ya ziwa huku bahati nzuri huku yupo bwana MDOGO amekuwepo huku miaka MINGI na familia yake SA siku moja tupo kwenye matembezi tukakutana na kadada Fulani hivi kana tako zito sana aisee dogo kanitambulisha huyu NI shemeji yako Ila mpango WA kando.
Basi tukasalimiana pale kisha tukasepa hata nikiwa nakutana Naye huyo MCHEPUKO WA DOGO ni salamu Tu na utani kidogo mi mbele ukizingatia mi si muongeaji sana ni WALA introvert.
SASA hivi karibuni huyo mchepu WA dogo amekuwa na tabia ya kutaka mi niwe naenda kumuona anapofanyia kazi hasa jioni yaani mpaka anamzingua dogo mbona bro wako simuoni mi nikajua dogo anatania si akanionyesha SMS huyo mchepu anamlaumu dogo mbona humwambii bro wako aje au Ndo hutaki nimuone 🤔 nikastuka Sana kuona HIYO SMS Basi nikamwambia dogo taenda kumcheck.
LAKINI zamani haikuwa hivyo cha ajabu dogo ananiambia Yule mchepu anasema mi nikionana Naye tunaongea vema Sana tofauti na dogo yaani mchepu wa dogo unanielewa Sana tukiwa tunaongea.
Jana dogo ananiambia Yule ana mimba changa uwenda HIYO mimba imekuelewa sana 🤔
SASA WAKUU Kwa Hali Hii huyu mchepu ANATAKA Nini kwangu huyu 🤔🤔🤔🤔🤔