Mchepuko wa mdogo wangu amenielewa

Mchepuko wa mdogo wangu amenielewa

Sema wanaume mmekuja kuwa na pigo za kiwaki sana, hili nalo ni la kuomba ushauri!?
Ha ha ha...
Jamaa kabaki dilema.

Ila akili yangu inanambia uyu anatengenezewa mazingira ajoin threesome.

Maana wote shemej yake&Dogo wanatumia Nguvu kubwa Sana kumuweka jamaa karibu yao.

Kuna kitu anategezewa uyu sio bure[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤔🤔🤔 Yaap KUNA kitu Aisee hii si kawaida KBS Haya mazoea ya ghafla hivi NI mshituko mkubwa KWANGU SA Sjui kuna nini Aisee yaani namuangalia dogo simmalizi HUyo mchepu NAYE simmalizi halafu mke WA dogo ni ana wivu WA kupindukia alishafuma SMS za dogo toka Kwa mchepu si wife kabeba namba kampigia mchepu full matusi na vitisho nikabeba jukumu la kusuluhisha Kwa mchepu na Kwa mke WA dogo pote pakae Sawa na nilifanikiwa.🏃
 
ngoja tumtag pole pole atakuja kutolea ufafanuz
 
Kwanza angalia mahusiano yako na uyo Dogo YAKOJE,
Kama huwa mnatabia ya kushea wanawake, nenda KAPIGE huo MZIGO. Ila umuweke wazi kabla.

(Maana Kuna couple nyingine zinapenda Sana kushea sex, Niliwai ingizwa kwenye huu mchezo (threesome) miaka ya nyuma hivyo hivyo)

Kuna akili inanambia wewe unatengenezewa mazingira ya kushiriki THREESOME[emoji4].

Kama hamna maZoea ayo,
Nenda nao wote mdg mdg automatic jins wao wanavotaka.

Wakitaka upige, wee KAPIGE.
Jamaa akiwa na wivu Sana na mtu wake, jiweke pembeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
MfANo Jana jioni nimetoka job nikawa nimekaa mahali dogo akaja akasema twende tupige pige misele mara akaniomba niende nikamchomoe HUyo mchepu kwao Uzuri mi si muongeaji Ila nikienda mahali Nina Karama ya kupokelewa na kusikilizwa nikazama nikatoka naye mchepu tukasimama mahali kwenye Ka Giza story story nikamwambia twende unaitwa na jamaa yako wakati tunatembea mi nikawa natembelea kwenye nyasi akasema oooh usitembelee HUKO usije ukachafuka ukirudi home uulizwe na MKEO nikamwambia wife hayupo YUPO Arusha na ni KWELI hayupo Ila Huo usemi wake nilivyokuwa namuangalia niligundua ni kama ananipima au anadadisi kama wife YUPO
 
Wakuu hamjambo aisee....
Mmefanikiwa na kubarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni.

Moja Kwa moja naanza, nilihamia kikazi mkoa Fulani kanda ya ziwa huku bahati nzuri huku yupo bwana MDOGO amekuwepo huku miaka MINGI na familia yake SA siku moja tupo kwenye matembezi tukakutana na kadada Fulani hivi kana tako zito sana aisee dogo kanitambulisha huyu NI shemeji yako Ila mpango WA kando.

Basi tukasalimiana pale kisha tukasepa hata nikiwa nakutana Naye huyo MCHEPUKO WA DOGO ni salamu Tu na utani kidogo mi mbele ukizingatia mi si muongeaji Sana ni WALA introvert.

SASA hivi karibuni huyo mchepu WA dogo amekuwa na tabia ya kutaka mi niwe naenda kumuona anapofanyia kazi hasa jioni yaani mpaka anamzingua dogo mbona bro wako simuoni mi nikajua dogo anatania si akanionyesha SMS huyo mchepu anamlaumu dogo mbona humwambii bro wako aje au Ndo hutaki nimuone 🤔 nikastuka Sana kuona HIYO SMS Basi nikamwambia dogo taenda kumcheck. LAKINI zamani haikuwa hivyo cha ajabu dogo ananiambia Yule mchepu anasema mi nikionana Naye tunaongea vema Sana tofauti na dogo yaani mchepu wa dOGO unanielewa Sana tukiwa tunaongea.

Jana dogo ananiambia Yule ana mimba changa uwenda HIYO mimba imekuelewa sana 🤔

SASA WAKUU Kwa Hali Hii huyu mchepu ANATAKA Nini kwangu huyu 🤔🤔🤔🤔🤔
Dogo lako fala...anazaaje na mchepuko
 
[emoji848][emoji848][emoji848] Yaap KUNA kitu Aisee hii si kawaida KBS Haya mazoea ya ghafla hivi NI mshituko mkubwa KWANGU SA Sjui kuna nini Aisee yaani namuangalia dogo simmalizi HUyo mchepu NAYE simmalizi halafu mke WA dogo ni ana wivu WA kupindukia alishafuma SMS za dogo toka Kwa mchepu si wife kabeba namba kampigia mchepu full matusi na vitisho nikabeba jukumu la kusuluhisha Kwa mchepu na Kwa mke WA dogo pote pakae Sawa na nilifanikiwa.[emoji125]
Wewe jamaa ni mnafiki sijapata kuona. Kwa hiyo ukiwa kwa wife Halali wa dogo, wife anakutengea msosi kama Shemeji Tena mume mkubwa na goti anapiga anakuwekea maji unawe, kumbe unaenda kusuluhisha kwa mchepuko.
Wewe ndio ulitakiwa uwe dira ya mdogo wako ukimuelekeza hasara za michepuko kiuchumi na kijamii badala yake upo unaona sawa.
Daaah michepuko ya ndugu zangu naijua Ila siwezi kuingilia Mambo Yao asee. Huo ni unafiki uliopitiliza.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Kwanza angalia mahusiano yako na uyo Dogo YAKOJE,
Kama huwa mnatabia ya kushea wanawake, nenda KAPIGE huo MZIGO. Ila umuweke wazi kabla.

(Maana Kuna couple nyingine zinapenda Sana kushea sex, Niliwai ingizwa kwenye huu mchezo (threesome) miaka ya nyuma hivyo hivyo)

Kuna akili inanambia wewe unatengenezewa mazingira ya kushiriki THREESOME[emoji4].

Kama hamna maZoea ayo,
Nenda nao wote mdg mdg automatic jins wao wanavotaka.

Wakitaka upige, wee KAPIGE.
Jamaa akiwa na wivu Sana na mtu wake, jiweke pembeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu samahani kuna dhambi gani ambayo hujawahi ifanya??
 
Wewe jamaa ni mnafiki sijapata kuona. Kwa hiyo ukiwa kwa wife Halali wa dogo, wife anakutengea msosi kama Shemeji Tena mume mkubwa na goti anapiga anakuwekea maji unawe, kumbe unaenda kusuluhisha kwa mchepuko.
Wewe ndio ulitakiwa uwe dira ya mdogo wako ukimuelekeza hasara za michepuko kiuchumi na kijamii badala yake upo unaona sawa.
Daaah michepuko ya ndugu zangu naijua Ila siwezi kuingilia Mambo Yao asee. Huo ni unafiki uliopitiliza.
Mimi sijui dogo anafaidikaje na huyo mchepu na dogo NI MTU MZIMA kaomba nimsaidie kusolve Jambo nakataaje ikiwa Mimi nimemkuta na mke wake na mchepu wake sjui walianza VIPI naanzaje kumuambia waachane hivi wewe unaijua nguvu ya mapenzi wewe swala la kupigiwa Hoti sjui kutengewa ugari na shemeji kwangu halipo sina muda Huo Aisee. Swala la kuachana na mchepu si jukumu langu halinihusu Hata kidogo Ila kama Kuna mgogoro NI kusuluhisha na kulala mbele Kila MTU ana maisha Yake Pengine dogo anawamudu wote au ana mpango wa kuongeza mke sa mi naanzaje kumpangia kwa MFANO.
 
Dogo ni mtu mzima na kaenda kukutambulisha kwa "mchepuko". Hata wapumbavu wanazeeke mkuu.
Je ndugu yako ni Ile Dini ya wake 4?
Kama hapana unamwonesha heshima gani shemeji yako kama wewe ndiye msuluhishi/kuwadi wa dogo na mchepuko?
Suala la wao kuachana sio la kwako, lakini kwa Nini ushiriki kwenye ujinga wao na unajua mkewe halali kalikataa?
 
Back
Top Bottom