mchepuko wa mkulu
Member
- Sep 11, 2016
- 31
- 27
Haya nimekuja nani analeta fyokofyoko?[emoji12] [emoji12] [emoji12]mchepuko wa mkulu njoo huku
Uko vizuri aiseeWajaneni kwani mkulu means huyohuyo mnaemjua ninyi?!
Au mpaka muambiwe jina..?
Ok..ni mchepuko wa mkulugenzi..!
Sitaki kuulizwa mkulugenzi wa wapi!
Kuna wakulugenzi wa wilaya,makampuni binafsi,nk.
So don't ask me who is my "mkulu"
Hapa jana nilikuwa naperuzi JF kupitia App ya simu nikamsoma mtu anaitwa mchepuko wa mkulu nilishangaa huyu mtu kilichomsukuma hadi akajipa hiyo ID ni nini
popote alipo mchepuko wa mkulu, aje atufafanulie
View attachment 399678
[emoji16][emoji16][emoji16] mkulu unamaanisha mzee wa magogoni auui??
Tuwe na uhuru wa kutoa mawazo na mitazamo yetu lakini tusipitilizeMchepuko wa mkubwa[emoji18]
hili neno mkulu kama hamlijui maanayake mkawauzile warangi kina lubuvaHapa jana nilikuwa naperuzi JF kupitia App ya simu nikamsoma mtu anaitwa mchepuko wa mkulu nilishangaa huyu mtu kilichomsukuma hadi akajipa hiyo ID ni nini
popote alipo mchepuko wa mkulu, aje atufafanulie
View attachment 399678
[emoji102]Wajaneni kwani mkulu means huyohuyo mnaemjua ninyi?!
Au mpaka muambiwe jina..?
Ok..ni mchepuko wa mkulugenzi..!
Sitaki kuulizwa mkulugenzi wa wapi!
Kuna wakulugenzi wa wilaya,makampuni binafsi,nk.
So don't ask me who is my "mkulu"