Mchepuko wa mkulu ni nani?

Mchepuko wa mkulu ni nani?

Wajaneni kwani mkulu means huyohuyo mnaemjua ninyi?!
Au mpaka muambiwe jina..?
Ok..ni mchepuko wa mkulugenzi..!
Sitaki kuulizwa mkulugenzi wa wapi!
Kuna wakulugenzi wa wilaya,makampuni binafsi,nk.
So don't ask me who is my "mkulu"
 
Uko vizuri aisee
 
Hapa jana nilikuwa naperuzi JF kupitia App ya simu nikamsoma mtu anaitwa mchepuko wa mkulu nilishangaa huyu mtu kilichomsukuma hadi akajipa hiyo ID ni nini
popote alipo mchepuko wa mkulu, aje atufafanulie

View attachment 399678

[emoji16][emoji16][emoji16] mkulu unamaanisha mzee wa magogoni auui??

Mchepuko wa mkubwa[emoji18]
Tuwe na uhuru wa kutoa mawazo na mitazamo yetu lakini tusipitilize
 
Wajaneni kwani mkulu means huyohuyo mnaemjua ninyi?!
Au mpaka muambiwe jina..?
Ok..ni mchepuko wa mkulugenzi..!
Sitaki kuulizwa mkulugenzi wa wapi!
Kuna wakulugenzi wa wilaya,makampuni binafsi,nk.
So don't ask me who is my "mkulu"
[emoji102]
 
Back
Top Bottom