Mchepuko wa mkulu ni nani?

Mchepuko wa mkulu ni nani?

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Hapa jana nilikuwa naperuzi JF kupitia App ya simu nikamsoma mtu anaitwa mchepuko wa mkulu nilishangaa huyu mtu kilichomsukuma hadi akajipa hiyo ID ni nini
popote alipo mchepuko wa mkulu, aje atufafanulie

1473798007256.png
 
Mchepuko ukuje huku bado tunasubiri majibu
 
Dah...mijitu mivivu utaijua tu..haipendi kukaa uraiani..inapenda kula bure...[emoji4]
 
Back
Top Bottom