Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Jamani nimenuniwa leo.
Mchepuko wangu ni wakala wa Tigo pesa, Mpesa na Airtel Money.
Sasa Mchepuko mpya ukataka nifanye muamala. Bila hiyana nikauambia ule wakala nisaidie kutuma elfu 20 kwenye hii namba. Akatuma, sasa baada ya kutuma akaniuliza huyu nani mbona mwanamke?
Nikatoa maelezo nikajua yameisha. Kumbe hayajaisha bwana baada ya kuachana pale akafanya mambo yake leo nimepita pale naona hata hataki kuniona. Nifanyaje wakuu maana mchepuko umenuna kuwa mchepuko mwenzake.
Tutunziane Siri.