Mchepuko wangu ambaye ni Wakala wa Mpesa ameninunia

Jamani nimenuniwa leo.

Mchepuko wangu ni wakala wa Tigo pesa, Mpesa na Airtel Money.

Sasa Mchepuko mpya ukatana nifanye muamala. Bila hiyana nikauambia ule wakala nisaidie kutuma elfu 20 kwenye hii namba. Akatuma, sasa baada ya kutuma akaniuliza huyu nani mbona mwanamke??

Nikatoa maelezo nikajua yameisha. Kumbe hayajaisha bwana baada ya kuachana pale akafanya mambo yake leo nimepita pale naona hata hataki kuniona. Nufanyaje wakuu maana mchepuko umenuna kuwa mchepuko mwenzake.

Tutunziane Siri.
We bado mtoto. As a man you need to make sure your women never meet or communicate. Sasa wewe ndo umempa na namba afanye muamala kabisa. That level of stupidity sijawahi ona.
 
Duh.

Sawa mkuu sasa wakifahamiana kuna hasara gani??

Maana wote status yao ni moja??
 
T
Jamani nimenuniwa leo.

Mchepuko wangu ni wakala wa Tigo pesa, Mpesa na Airtel Money.

Sasa Mchepuko mpya ukatana nifanye muamala. Bila hiyana nikauambia ule wakala nisaidie kutuma elfu 20 kwenye hii namba. Akatuma, sasa baada ya kutuma akaniuliza huyu nani mbona mwanamke??

Nikatoa maelezo nikajua yameisha. Kumbe hayajaisha bwana baada ya kuachana pale akafanya mambo yake leo nimepita pale naona hata hataki kuniona. Nufanyaje wakuu maana mchepuko umenuna kuwa mchepuko mwenzake.

Tutunziane Siri.
Tafuta Hela kijana
 
Jamani nimenuniwa leo.

Mchepuko wangu ni wakala wa Tigo pesa, Mpesa na Airtel Money.

Sasa Mchepuko mpya ukataka nifanye muamala. Bila hiyana nikauambia ule wakala nisaidie kutuma elfu 20 kwenye hii namba. Akatuma, sasa baada ya kutuma akaniuliza huyu nani mbona mwanamke?

Nikatoa maelezo nikajua yameisha. Kumbe hayajaisha bwana baada ya kuachana pale akafanya mambo yake leo nimepita pale naona hata hataki kuniona. Nifanyaje wakuu maana mchepuko umenuna kuwa mchepuko mwenzake.

Tutunziane Siri.
Wewe ni pbafu acha ununiwe

Yaani mpaka Leo hujui medini za intelegensia aah

Komolewa kbs

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Jamani nimenuniwa leo.

Mchepuko wangu ni wakala wa Tigo pesa, Mpesa na Airtel Money.

Sasa Mchepuko mpya ukataka nifanye muamala. Bila hiyana nikauambia ule wakala nisaidie kutuma elfu 20 kwenye hii namba. Akatuma, sasa baada ya kutuma akaniuliza huyu nani mbona mwanamke?

Nikatoa maelezo nikajua yameisha. Kumbe hayajaisha bwana baada ya kuachana pale akafanya mambo yake leo nimepita pale naona hata hataki kuniona. Nifanyaje wakuu maana mchepuko umenuna kuwa mchepuko mwenzake.

Tutunziane Siri.
Sasa ananuna nn na ameshapata muamala ina maana faida tayari
 
Back
Top Bottom