"Yote hiyo" wakati kasema ni miwili tu? Kijana bado anajifunza.... Utakuwaje na michepuko michache namna hiyo?Mkuu michepuko yote hiyo ya nini? Usije kupata stroke kama ID yako
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Mkuu hata ungekua wewe usingeiacha jinsi ilivyo.Mkuu michepuko yote hiyo ya nini? Usije kupata stroke kama ID yako
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Huyu alikula sana enzi za Jiwe bado anayo pensheni, mwache aongeze mzunguko wa pesa mtaaniMkuu michepuko yote hiyo ya nini? Usije kupata stroke kama ID yako
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
😆😆😆 Basi sawaNchi huru hii mkuu wee leta tu tutachangia.
Mtafutie mchepuko wa tatu, atatulia mwenyewe bila shurutiSasa mkuu huyo akimtumia hela mteja kuna tatizo gani??
Maana anajijua ni mchepuko halafu bado anamind mambo kama hayo.
Jamani nimenuniwa leo.
Mchepuko wangu ni wakala wa Tigo pesa, Mpesa na Airtel Money.
Sasa Mchepuko mpya ukatana nifanye muamala.
Bila hiyana nikauambia ule wakala nisaidie kutuma elfu 20 kwenye hii namba.
Akatuma, sasa baada ya kutuma akaniuliza huyu nani mbona mwanamke??
Nikatoa maelezo nikajua yameisha.
Kumbe hayajaisha bwana baada ya kuachana pale akafanya mambo yake leo nimepita pale naona hata hataki kuniona.
Nufanyaje wakuu maana mchepuko umenuna kuwa mchepuko mwenzake.
Tutunziane Siri.
Ukishindwa kusuluhisha niiteAisee ndio mwenyewe.
JF watu mnanitisha ujue.
Hiyo picha umeipata vipi??