Mchepuko wangu anakula sana, msaada wenu ni muhimu sana

Mchepuko wangu anakula sana, msaada wenu ni muhimu sana

wadau,

yaani nimepata mtoto mmojaa wa kachanganya damu . Ni mzuri balaa halafu papuchii ni mnato kwelli. Tatizo huyu mchepuko wangu anapenda kula ugali wa dona hata sahani tatu.imagine juzi nimeendaa naye palee break point posta mtoto kaagiza maakange ya kuku mbili na ugali halafu akapigaa coca ya baridi.

Tukatoka hapo tukaenda maeneo ya triplee 7 mtoto hapa ndo akanitisha akaagiza kongoroo mbili. Na ndizi tatu. Na coca tena ya baridi.uzuri wa huyu binti hanywi pombe wala hapigi vizinga.yeye anapenda kulaa tu muda wotee.so mara nyingi nkiwa nakunywa yeye anapiga msosi kama kongoro,makange,trupaa,mturaa na chapati ndio raha yake huku anapata coca ya baridi.


Wadau naombeni mnisaiidie huyu binti atakuwa na tatizo gani au ndo watu waliochanganya damu wanapenda kula hivi.
mpe dawa ya minyoo.
 
Back
Top Bottom