Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Ukiona hivyo jua yupo tayari kushika mimba na amekuona hupo tayari kulea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana pia akawa anataka kumpa zawadi ya mtoto
Kuna ndugu kila mtu anaishi kwake, kwa hiyo mchuma janga hula mwenyewe.Hilo la mume mmoja anakudanganya.
Mengine hayahitaji ushauri ni makubaliano yenu na uzinzi wako. Mchuma janga hula na wa kwao
Kwa hiyo sisi huu upuuzi wako una tuhusu nini?Habarini wakuu
Kuna mchepuko wangu anataka nimgegede bila kinga. Anasema condom ya nini sasa, yeye anataka nyama to nyama.
Nimemwambia lazima tupime zaidi ya mara moja amekubali na anadai yeye amewahi kuwa na mahusiano na mwanaume mmoja tu , tena ndiye aliyemzalisha.
Ushauri wenu wadau nimgegede??