Mchepuko wenye ubora....

Angekua ashaolewa kwa sifa hizo

Huyo kakukoleza 6x6 unampa hadi sifa asizostahili
 
Neno mchepuko limekua fasheini,wengine hata hawajaoa au kuwa na mwanamke wa kudumu ili apate sifa hata akinunua dadapoa anampa jina mchepuko aiseee
Upo sahihi kabisa, kuna tofauti kati ya mpenzi na mchepuko, malaya na mchepuko
 
Sifa ya mchepuko nikua na mchepuko mzurii kuliko mpenzi wako hata siku mpenzi akimuona anajitafakari nakiona kweli hata angekua yeye lzm angechepuka lzm akusamehe mapema manake anajua mchepuko umemzidi
 

Uyo lazima mtakua foleni
 
Fikiria endapo Mkeo Atakutwa na iyo hali uliyokuwa nayo ww itakuwa Pana ndoa.hapo???
 
Hongera
 
Huwezi kujua ujinga huu mpaka siku mwanao wa kike atakapofanywa mchepuko na mume wa mtu na hautakuwa na cha kufanya. Unachokifanya sasa ni mbegu ambayo itakuzalia matunda kwako na kwa wanao.
 
Kwanini hajaolewa? Kwamba ni wewe tu uliyeona haya wengine hawajaona? TAFAKARI CHUKUA HATUA, huenda wewe ndie mchepuko kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…