byongo
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 827
- 1,945
Angekua ashaolewa kwa sifa hizoHivi mchepuko kama huu unauachaje? Ni msafi kuanzia yeye mwenyewe mpaka mazingira anayoishi,ni mkarimu,mcheshi,ana heshima,she is biutiful,sexy body and romantic,anajua kupika utafikiri chef,kunako sita kwa sita ndo dah si mchezo huyu manzi!!Dah!najiona kabisa nimekuwa mateka!!
Huyo kakukoleza 6x6 unampa hadi sifa asizostahili