Shaaban Haufi
Member
- Apr 18, 2014
- 75
- 10
Jaman wana Jf,mimi ni mwanafunzi mhitimu wa kidato cha nne 2013 Kutoka shule ya sekondary Ilemba(shule ya kata) Bonde la sumbawanga mkoani RUKWA!Nimepata division II-18,Nilifanya uchaguzi wa Mchepuo wa EGM-Pugu boyz.geog-B,B/Maths B+Je kuna uwezekano wa kwenda pugu baada ya post?,kwani bado nasubiri hizo post,na je shule hiyo inaweza kunitoa?Endapo nikikaza msuli!Naombeni mchango wenu wadau wa elimu mlio wah kuxoma pugu boys au mnazijua sifa za kitaaluma za shule hiyo