Mchepuo wa EGM Pugu boys

Mchepuo wa EGM Pugu boys

Shaaban Haufi

Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
75
Reaction score
10
Jaman wana Jf,mimi ni mwanafunzi mhitimu wa kidato cha nne 2013 Kutoka shule ya sekondary Ilemba(shule ya kata) Bonde la sumbawanga mkoani RUKWA!Nimepata division II-18,Nilifanya uchaguzi wa Mchepuo wa EGM-Pugu boyz.geog-B,B/Maths B+Je kuna uwezekano wa kwenda pugu baada ya post?,kwani bado nasubiri hizo post,na je shule hiyo inaweza kunitoa?Endapo nikikaza msuli!Naombeni mchango wenu wadau wa elimu mlio wah kuxoma pugu boys au mnazijua sifa za kitaaluma za shule hiyo
 
Haya ni Matokeo Ya Mwaka 2013 advance !

S0147 PUGU SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 3 DIV-II = 15 DIV-III = 207
DIV-IV = 45 FLD = 47

Kwahiyo jaribu kujiuliza !
Ila kiukweli bwana EGM kama unasoma kiukweli basi inakutoa !

Unapiga II ata I yako nzuri tu !
Tofauti na Kombi zinazoeleweka kwanba ningumu !

Sio siri EGM inatoa!
!

ACSEE RESULTS 2013 / PUGU
 
Pugu kuna comb 3 kwa adv level: EGM,PCM na PCB. Kati ya hizi EGM ndio inasifika kwa kufaulisha pale. nilisoma EGM pale na kumaliza 2010 darasa letu tulikuwa yapata 57 kati ya hao ni wawili kama siyo mmoja ambae hakufanikiwa kuingia chuo maana tulicheza kwenye Div one,two na three.three zilikuwa chache sana. keep on EGM itakutoa lakini komaa!!!!
 
Haya ni Matokeo Ya Mwaka 2013 advance !

S0147 PUGU SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 3 DIV-II = 15 DIV-III = 207
DIV-IV = 45 FLD = 47

Kwahiyo jaribu kujiuliza !
Ila kiukweli bwana EGM kama unasoma kiukweli basi inakutoa !

Unapiga II ata I yako nzuri tu !
Tofauti na Kombi zinazoeleweka kwanba ningumu !

Sio siri EGM inatoa!
!

ACSEE RESULTS 2013 / PUGU

Nashukuru brother,kuna ukweli wowote kuwa economics ni ngumu sana kama hujasoma B/Keeping &commerce o-level?
 
Nashukuru brother,kuna ukweli wowote kuwa economics ni ngumu sana kama hujasoma B/Keeping &commerce o-level?

asikudanganye mtu,b/keeping na commerce hata havihusiani na economics kabisa..afu uwezekano wa wewe kuchaguliwa pugu ni mkubwa sana coz pugu ni shule ya kawaida sana.
 
asikudanganye mtu,b/keeping na commerce hata havihusiani na economics kabisa..afu uwezekano wa wewe kuchaguliwa pugu ni mkubwa sana coz pugu ni shule ya kawaida sana.

Poa brother kama vp post zikitoka,ntapenda tuwasiliane kwan unaweza kunisaidia katika mambo mengi,(0768428999)
 
Back
Top Bottom