Shaaban Haufi
Member
- Apr 18, 2014
- 75
- 10
Haya ni Matokeo Ya Mwaka 2013 advance !
S0147 PUGU SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 3 DIV-II = 15 DIV-III = 207
DIV-IV = 45 FLD = 47
Kwahiyo jaribu kujiuliza !
Ila kiukweli bwana EGM kama unasoma kiukweli basi inakutoa !
Unapiga II ata I yako nzuri tu !
Tofauti na Kombi zinazoeleweka kwanba ningumu !
Sio siri EGM inatoa!
!
ACSEE RESULTS 2013 / PUGU
Nashukuru brother,kuna ukweli wowote kuwa economics ni ngumu sana kama hujasoma B/Keeping &commerce o-level?
asikudanganye mtu,b/keeping na commerce hata havihusiani na economics kabisa..afu uwezekano wa wewe kuchaguliwa pugu ni mkubwa sana coz pugu ni shule ya kawaida sana.