Mcheza Kwao Hutunzwa.....

Hiv ka"UMRI" kameenda....? maana unaonekana "MZEE''...au ndio binti wa miaka ya 70's
 
Hakuna wa kuharibu kama ipo ipo tu... Mungu pekee ndiyo mwenye maamuzi ya mwanzo na mwisho.. usijali...

You know what..... you a fully packed. I don't need any Christmas present.... you are the best present I've ever received, felling blessed to be your lover.
Ni wanaume wachache sana wanaomtegemea Mungu, japo juhudi binafsi zipo ila Mungu nae ana uepo wake, umeniongezea mahaba kwako la aziz Smart mmuah! !
 
Hahaha... Ubishi kwisha sasa... Nilikuambia usiseme unanijaribu kama unaingia ingia mazima... hahaha...

Kwisha habari yangu hahahahaa Kasinde kwishney mbele ya Smart911 mbona nimeufyata hahahah
Nibishe nini tena kwako na mahaba yako mazito mazito nikikohoa tuu umeniletea maji kwakweli wewe ni zaidi ya mpenz. Nakupenda na nakuheshimu
 
Hiv ka"UMRI" kameenda....? maana unaonekana "MZEE''...au ndio binti wa miaka ya 70's

Jibu jaza mwenyewe na trupu yako, mie nala mahaba na wangu mwandani.

Hadi mwaka uishe, watajibeba wengi mbona hehehehehehehhee wacha nifunge bakuli langu Kasie mie.
 
Kwisha habari yangu hahahahaa Kasinde kwishney mbele ya Smart911 mbona nimeufyata hahahah
Nibishe nini tena kwako na mahaba yako mazito mazito nikikohoa tuu umeniletea maji kwakweli wewe ni zaidi ya mpenz. Nakupenda na nakuheshimu

Nakupenda pia... Unakumbuka kipindi ulichokuwa unacheka kwa dharaaau... hahaha...
 
I told you i will be your secret Santa and you will be carried away... You at you know, all over each other...
 
Hahaha.. i can imagine how you were looking at me so politely and whispered on my ears, smart why are you torturing me like this... what do you want? huku ukiwa umelegea kabisa kama vile siyo yule Kasinde mbabe, ambae ukimwaga ugali nae anamwaga mboga... town wanasema kama mbwai na iwe mbwai tu...
 
Nakupenda pia... Unakumbuka kipindi ulichokuwa unacheka kwa dharaaau... hahaha...

Hahahahahahahaaaa yaani we acha tuu saa hizi natabasamu kwa haina na soni, sio kuwa naremba mazungumzo ila penzi lako tamu mpenz, nakupenda hasa unaponikamatia chini heheheheheh mmuaah!!! Tuendelee kukamatana mpenz wangu hakuna namna mimi nawe daima dumu damuni, Amina.
 
I told you i will be your secret Santa and you will be carried away... You at you know, all over each other...

I've agree my love, on the first place I just look at you. But when I get into you I see you and am not gonna let you go..... Love you mingi sweet darling.
 
Hahahahahhaaa mpenz basi usiendelee unaamsha hisia ujue, sasa hapa si zangu tuu hata za majirani nazo zitaamka. Ila wakitushtaki hakuna shida, mwanasheria mwenyewe niko hapa ntasimamia kesi wakigoma tutatumia mwanasheria wetu.

Kuna muda nikijiangalia siamini kama umeniweza kwa ubabe na ubishi wote ule nlikuwa nao...... salute kwako mahabuba, muah!!!!
 
Ukizipandisha unakuwa mbishi mpaka upate... Sorry to make you drink Amarura badala ya ile juice...
 
Ukizipandisha unakuwa mbishi mpaka upate... Sorry to make you drink Amarura badala ya ile juice...

Hahahahahahhaa Smart911. ...... I love you more and more...... you know how to squeeze. ....
 
Kwa hyo Shem Leo nozel zitatema bila kuchoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…