Mcheza Kwao Hutunzwa.....

Hahahah [emoji43][emoji43]

Hahahaha haya makaburi yanayofukuliwa hivi yatamsababishia mtu kichaa aisehhhh

kuna mtu anajipa moyo yaani mpaka huruma hivi aisehh.

mwenzetu ana macho ya bandia ila huyu shemela ni kipofu aisehhh...

haijawahi kutokea duhh huyu shemela akawa na macho ya gololi. Sijui anakojozwa sana yaani dushe linagonga kila kona...
 
Hongera
 
Hahaha
 
Hahahaha anataka ashuhudie mikao... ole wako utoe picha no honey for you na kesho njia nzima hakuna kuongea wala kukugusana...

Siyo issue ya kula mzigo kiulaini.. ila kuna wanawake wanajua kupenda... akikupenda una enjoy sana... ni kama Kasinde... Hivi unadhani kasinde unaweza kumla kiulani kweli...

I love you darling, thanks for everything that you have done to me, it is a super suprise..... leaning on your shoulder while speaking sweet nothing words. ... muah

Mpenz usiseme watatuharibia hawa..... mie nakupenda na kwako ndio nimefunga breki.

Kile unachonikataza ndo sheria, kwako nazitii bila shuruti. ... nakupenda sana Smart......

Hapo uko mwenyewe, mie niko mpenz wangu bin mahabuba Smart911



Kwisha habari yangu hahahahaa Kasinde kwishney mbele ya Smart911 mbona nimeufyata hahahah
Nibishe nini tena kwako na mahaba yako mazito mazito nikikohoa tuu umeniletea maji kwakweli wewe ni zaidi ya mpenz. Nakupenda na nakuheshimu

Hehehehhee asante kwa niaba kwa kutambua nafasi yake.


I've agree my love, on the first place I just look at you. But when I get into you I see you and am not gonna let you go..... Love you mingi sweet darling.


Ukizipandisha unakuwa mbishi mpaka upate... Sorry to make you drink Amarura badala ya ile juice...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…