Mcheza Kwao Hutunzwa.....

Mcheza Kwao Hutunzwa.....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Habari ya usiku wapendwa,

Yako wa yamesalia masaa machache ili kuanza safari ya mapumziko na kusheherekea sikukuu za Krismasi na mwaka Mpya 2017, basi nikiwa naandaa vitu vya safari leo nikiwa na my boo Smart911 .... ghafla nikashukiwa na upako wa kuanza kucheza na kuimba wimbo huu wa kinyamwezi. Hehehehee ameburudikajee maana hakuchoka kunitazama na kutabasamu kwa kila nilichofanya.

Wimbo wenyewe unaimbwa hivi ...... Japo sijajua yanatamkwaje..... tumbo na kucheza pamoja. Hii ni furaha ya safari heheheheheheh

Kamnyangala kane mayuu Kamnyangala kanee

Bwana dereva kanyagaa motooo
Kamnyangala kanee......

Sasa hapo mabega na nyonga ndo zinanesanesa........
Kamnyangala kane mayuu.... tucheze pamoja na wale wanaojua maana karibuni.

Happy Holidays Everyone! !
 
Nilidhani lile songi kingosha budagara ungeimba lile ungepigwa cheo cha fastafasta mkuu
 
Tayari nshabandikwa licheo kichini chini yeye hupiga zile ngoma kwa ustadi wa hali ya juu wacha kabisa ni bonge ya burudani.
 
Kumbe kuna maajuza hivi khaa umenichosha sasa

You were the only one who were left behind.... everybody knew about it. Where were you. ...? Poleee
 
Tunasubir mrejesho

Mrejesho wa nini? Saa hizi tu nacheza hiki ligoma hadi safari ianze ntalala nikiwa chomboni bin safarini.
Kamnyangala kane mayuu.....
 
Mnyamwezi hubebeshwa mizigo mizito, tokea lini na kuimba?[emoji15] au ndio nyimbo za shambani akilima hizo.[emoji12] [emoji1]
Na usingizi ukiwa hauji unaimbiwa pia[emoji42][emoji14]
Vipi kwanza mrejesho wa yule jamaa uliepanga mtoko nae?

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mrejesho uko pale pale kwenye ile thread.... ifatilie na kesho ndo tunaenda kwenye kusheherekea sikukuu za Krismasi na mwaka mpya pamoja nae baby boo Smart.

Shamba la usiku unalijua, wanyamwezi wana ngoma na nyimbo nyingi za kuimba wakiwa wanalima. Ila si kila ukisikia kilimo basi ni shambani. ..... tunalima usiku kucha kwa raha zetu, mnyamwezi ndo mie na mzigo mzito nauhimili mwenyewe.
Kamnyangala kane mayuu. ....
 
Acha nikautafute ule uzi, nauhakika smart911 kala mzigo kilaini. [emoji39] [emoji23] [emoji23]
Smart911 hana mapepe kama binamu alietaka kula nyama ya hamu.[emoji16] [emoji6] [emoji38] [emoji38]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Acha nikautafute ule uzi, nauhakika smart911 kala mzigo kilaini. [emoji39] [emoji23] [emoji23]
Smart911 hana mapepe kama binamu alietaka kula nyama ya hamu.[emoji16] [emoji6] [emoji38] [emoji38]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Mbona iko wazi wala sio siri. Tena sio mara moja na hivi ndo tunasafiri wote kesho na kumaliza mwaka pamoja, shughuli ni moja tuu.....
After all Smart sio binamu yangu wala hatuna undugu hivyo ni ruksa, ila binamu aliyenifata SA adabu yake ndogo sana, hadi leo hajanitafuta wala mie sijamtafuta, adabu ma heshima.

Kila la kheri na mwaka mpya mwema.
 
Pinda mgongo kidogo mamy!!!! Kamnyangala kane mayuuuuuuuuuu.....!!
 
Na wewe heri ya mwaka mpya pia.
Smart lazima apalilie vizuri mwakani mwezi wa 9 mavuno yawe ya twins[emoji480] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Tayari nshabandikwa licheo kichini chini yeye hupiga zile ngoma kwa ustadi wa hali ya juu wacha kabisa ni bonge ya burudani.
Mimi naujua ule the famous'sensema malunde'
Wana Tabora Jazz wanajua kuupiga huu. Unatukumbusha mbalu sana wengine
 
Pinda mgongo kidogo mamy!!!! Kamnyangala kane mayuuuuuuuuuu.....!!

Hahahahaha hii sio penda mugongo unanikumbusha ule wimbo wa taarab ya pembe la ng'ombe. ....

Hii ni kutingisha mabega na nyonga huku unasogea kiupande upande ukicheza taratibuuu raha sana asikwambie mtu ukianza kucheza hili goma humalizi wala huchoki raha tuu hehehehehee

Kamnyangala kanee. ...
 
Back
Top Bottom