Habari ya usiku wapendwa,
Yako wa yamesalia masaa machache ili kuanza safari ya mapumziko na kusheherekea sikukuu za Krismasi na mwaka Mpya 2017, basi nikiwa naandaa vitu vya safari leo nikiwa na my boo
Smart911 .... ghafla nikashukiwa na upako wa kuanza kucheza na kuimba wimbo huu wa kinyamwezi. Hehehehee ameburudikajee maana hakuchoka kunitazama na kutabasamu kwa kila nilichofanya.
Wimbo wenyewe unaimbwa hivi ...... Japo sijajua yanatamkwaje..... tumbo na kucheza pamoja. Hii ni furaha ya safari heheheheheheh
Kamnyangala kane mayuu Kamnyangala kanee
Kamnyangala kane mayuu Kamnyangala kanee
Bwana dereva kanyagaa motooo
Kamnyangala kanee......
Sasa hapo mabega na nyonga ndo zinanesanesa........
Kamnyangala kane mayuu.... tucheze pamoja na wale wanaojua maana karibuni.
Happy Holidays Everyone! !