Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa akiingia ulingoni lazima taa zijiswitch off zenyewe, mara utaona anaingia akiwa ndani ya jeneza.ila tulikuwa tunadanganya kuhusu huyu jamaa kuwa taa uwanjani zikizimwa jamaa anaingia kwa kupaa,wabongo wengine wakasema jamaa aliua ndugu zake wote jinsi alivyo na roho mbaya,wabongo wakazidi kutia fora kuwa jamaa analala kwenye jeneza na makaz yake kaburini daaahh tulidanganyana sanaa
"Rest in peace" my men. Dah ndo bas tena hatuwezi kurudisha siku nyuma. Mi ni shabiki wake wa kutupa. Nimeangalia nadhani 90% ya clip za mapigano yake yote. Roho yaniuma kwamba sitamwona tena "akiwaadhibu" washindani zake. Mapumziko mema
Basi haya maneno "Rest in Peace " Mimi nilikuwa najua yanatumika kwa wafu tu.Naendelea kujifunza."Rest in peace" my men. Dah ndo bas tena hatuwezi kurudisha siku nyuma. Mi ni shabiki wake wa kutupa. Nimeangalia nadhani 90% ya clip za mapigano yake yote. Roho yaniuma kwamba sitamwona tena "akiwaadhibu" washindani zake. Mapumziko mema.
Movies ni nini?Mieleka ni movies tu ila naonaga watu wanakuwa excited sana utafikiri ni real sports.
Acha bangi wewe!"Rest in peace" my men. Dah ndo bas tena hatuwezi kurudisha siku nyuma. Mi ni shabiki wake wa kutupa. Nimeangalia nadhani 90% ya clip za mapigano yake yote. Roho yaniuma kwamba sitamwona tena "akiwaadhibu" washindani zake. Mapumziko mema.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] jamaa yenu aliwanywesha chaiNakumbuka ilikuwa mwaka 96 jamaa yangu alikuwa anasoma olympio basi vingereza viiingi tukipiga story, akaniambia wacheza mieleka wenzake walimvamia home wamuue wakamkuta anachonga majeneza wakatoka nduki, nakumbuka kipindi hicho CTN wanaonesha WCW nilikuwa nawapenda STING, LEX LUGER
MaigizoMovies ni nini?
mi niliondoka hapo 20032006 mkuu,
Daah! nimefurahi sana mkuu,wote sisi ni wajumbe wa KIZOTAmi niliondoka hapo 2003
Hatari sana hii,hahahahaaa!Nakumbuka ilikuwa mwaka 96 jamaa yangu alikuwa anasoma olympio basi vingereza viiingi tukipiga story, akaniambia wacheza mieleka wenzake walimvamia home wamuue wakamkuta anachonga majeneza wakatoka nduki, nakumbuka kipindi hicho CTN wanaonesha WCW nilikuwa nawapenda STING, LEX LUGER
Hahahahaaa! kama ni chai basi ya maziwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] jamaa yenu aliwanywesha chai
ila tulikuwa tunadanganya kuhusu huyu jamaa kuwa taa uwanjani zikizimwa jamaa anaingia kwa kupaa,wabongo wengine wakasema jamaa aliua ndugu zake wote jinsi alivyo na roho mbaya,wabongo wakazidi kutia fora kuwa jamaa analala kwenye jeneza na makaz yake kaburini daaahh tulidanganyana sanaa
Kuna ndugu yangu aliniambia jamaa alishakufa(ga) kitambo sana kwahiyo unaopigana pale ni mzimu [emoji23][emoji23]
2006 mkuu,
Advanced diploma mkuu(42years) sasaDuh 🙄 kumbe bado dogo sana,2006 nimeshaoa mke wa tano na Watoto kama 50 hivi.