Mcheza mieleka Mark William Calaway (Undertaker) astaafu kucheza mchezo huo baada ya kushiriki kwa miaka 30

'rest in peace' taker, there will never be a undertaker again...………….,
 
Mh, miaka thelathini ni mingi sana, ukizingatia wengine humu walikua bado wapo kwenye zipu za baba zao tu.
 
Jamaa akiingia ulingoni lazima taa zijiswitch off zenyewe, mara utaona anaingia akiwa ndani ya jeneza.
Utoto raha sana.
Itv waliluwa
 
"Rest in peace" my men. Dah ndo bas tena hatuwezi kurudisha siku nyuma. Mi ni shabiki wake wa kutupa. Nimeangalia nadhani 90% ya clip za mapigano yake yote. Roho yaniuma kwamba sitamwona tena "akiwaadhibu" washindani zake. Mapumziko mema

"Rest in peace" my men. Dah ndo bas tena hatuwezi kurudisha siku nyuma. Mi ni shabiki wake wa kutupa. Nimeangalia nadhani 90% ya clip za mapigano yake yote. Roho yaniuma kwamba sitamwona tena "akiwaadhibu" washindani zake. Mapumziko mema.
Basi haya maneno "Rest in Peace " Mimi nilikuwa najua yanatumika kwa wafu tu.Naendelea kujifunza.
 
"Rest in peace" my men. Dah ndo bas tena hatuwezi kurudisha siku nyuma. Mi ni shabiki wake wa kutupa. Nimeangalia nadhani 90% ya clip za mapigano yake yote. Roho yaniuma kwamba sitamwona tena "akiwaadhibu" washindani zake. Mapumziko mema.
Acha bangi wewe!
 
Nakumbuka ilikuwa mwaka 96 jamaa yangu alikuwa anasoma olympio basi vingereza viiingi tukipiga story, akaniambia wacheza mieleka wenzake walimvamia home wamuue wakamkuta anachonga majeneza wakatoka nduki, nakumbuka kipindi hicho CTN wanaonesha WCW nilikuwa nawapenda STING, LEX LUGER
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] jamaa yenu aliwanywesha chai
 
Hulk Hogan, Randy Savage, Bob Backlund ,Big Show and Paul Akin.

Wrestlers of all the time.
 
Hatari sana hii,hahahahaaa!
 

Ahahahhaha hizo stori sijui walitoa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…