Mchezaji aliyecheza dk 90 bila kugusa mpira

Mchezaji aliyecheza dk 90 bila kugusa mpira

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Thomas Lungu Sweswe ni mchezaji wa Zimbabwe,beki centre back,na amecheza vilabu 9 tofauti ,kwa sasa anacheza Bidvest Wits ya south africa,mchezaji huyo ameweka rekodi ya kutokugusa mpira dk 90 akicheza na Kaizer Chiefs.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧ Sasa alikuwa ameshika Camera maana hata Refa kunawakat mpira unamgonga
 
Hii sio chai bali ni kahawa maana si kwa uchungu huu.
 
Kwahiyo alikuwa akitumiwa pasi anaukwepa na akiufuata mpira akishaufikia anauruka,hii haiwezekani hata kidogo...
 
Angalieni siyo chai hata video ya game ipo youtube
Huu sasa ni uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuhh! ilikuwa kuwaje?
Video haifunguki.
Maje nea chai namba wore munane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii sio chai bali ni kahawa maana si kwa uchungu huu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Neghuntendee ukii ilombwe ghidogo, sukari apanda bei[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yuuu ntendea munane ila moghosia onge wahanya kahawa yee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20200420-161447_Firefox.jpeg

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Mnamlaumu Yikpe bure mpeni mda

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
😂😂😂😂

Alikuwa anajificha migongoni kwa wenzake au?
 
Back
Top Bottom