Mchezaji aliyeshusha daraja timu 2 ana sifa zipi za kusajiliwa Simba ?

Kama timu inasajili mchezaji mwenye magoli 2 michezo 48 tena wa kigeni iweje kwa mzawa tena mwenye magoli 6 mechi 15?
Hzi stats zinatisha, 😊 sema ya kushusha daraja timu tatu na kufail South Africa nayo inasound good...!! Hata hvyo viongozi wengi wa kiafrica ni wazee wa 10% ..matumizi ya ubongo Africa ni nadra Sana , tumbo ndo hutangulia maamuz
 
Naona umeshachanganyikiwa Mzee,unajibu comments za watu tofauti kwenye reply yangu
 
Hzi stats zinatisha, 😊 sema ya kushusha daraja timu tatu na kufail South Africa nayo inasound good...!! Hata hvyo viongozi wengi wa kiafrica ni wazee wa 10% ..matumizi ya ubongo Africa ni nadra Sana , tumbo ndo hutangulia maamuz
Walitudanganyaga hawa hawa kuwa oh tumetumia watalaam kutoka nje na system za uchambuzi kuwapata hawa wachezaji wakibrazil....mwisho wake nadhani wote tunajua. Haya mambo ya kuendekeza matumbo tabu sana
 
Amezihujumu vipi ?...au unajaribu kumchafulia CV ?....acha uchawi.
 

Wanaoibeba Simba kwa Sasa Ni mashibiki tu. Siku mashabiki wakichoka Simba itapotea maana Ina Viongozi wa ovyo Sana. wanafanya uongozi Kama hisani hawana vision.
 
Kwamba huenda ukawa unaujua mpira kushinda viongozi wa Simba waliomsajili na watakaomlipa?

Viongozi gani wa Simba wanaujua mpira? Wakati Yanga wanatengeneza kikosi wao walikuwa wanauza wachezaji wao Bora ambao Leo wanataka kuwarejesha Tena. Pale hamna Viongozi Ni matapeli tu. Viongozi wenye vision na timu wapo Yanga.
 

Tatizo Viongozi wa Simba hawatafuti talent Bali wao wasajili tu, leo wachezaji wengi wapo benchi hawachezi maana hawana viwango.
 

Ila Simba haina bahati ya kusajili wachezaji wazuri wa ndani. Wengi huwa magalasa kuanzia Mhilu, abdulswamad, gadiel etc. Tofauti na Yanga akina ambundo, Job, kibwana, mwamnyeto etc.
 
Simba wangeacha Yanga wamalize jambo lao kwanza ndio waje na huu ujinga wao.

Watu tumemind sababu wameingilia mambo ya siku ya Yanga wakati kabla ya hapo walituahidi hadi baada ya Eid.
Afu wanatuletea kituko

Sioni tumaini kwa Simba msimu huu, maana imekuwa uswahili wakati wengine wanafanya kweli sisi tumebakiza uswahili msimu ukianza malalamiko kwenda mbele.
 
Habib Kyombo nusu msimu anamagoli 6 kwa Simba ya msimu ujao na ubora akipewa nafasi msimu mzuri atakua na magoli mia.
 
Kama timu inasajili mchezaji mwenye magoli 2 michezo 48 tena wa kigeni iweje kwa mzawa tena mwenye magoli 6 mechi 15?
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…