Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Hzi stats zinatisha, 😊 sema ya kushusha daraja timu tatu na kufail South Africa nayo inasound good...!! Hata hvyo viongozi wengi wa kiafrica ni wazee wa 10% ..matumizi ya ubongo Africa ni nadra Sana , tumbo ndo hutangulia maamuzKama timu inasajili mchezaji mwenye magoli 2 michezo 48 tena wa kigeni iweje kwa mzawa tena mwenye magoli 6 mechi 15?