Kwani bigirimana ni striker au kiungo mkabaji? Naomba maelezo mzee mbumbu.Kama timu inasajili mchezaji mwenye magoli 2 michezo 48 tena wa kigeni iweje kwa mzawa tena mwenye magoli 6 mechi 15?
Yes, yuko shallow sana.Mkuu chambua siasa tu Mpira hauwezi
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.Yes yuko shallow sana.
Una miaka mingapi? kichwa chako hakina wazo jipya ni kuhamisha comment moja kwenye kila thread!Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.Una miaka mingapi? kichwa chako hakina wazo jipya ni kuhamisha comment moja kwenye kila thread!
Tatizo Viongozi wa Simba hawatafuti talent Bali wao wasajili tu, leo wachezaji wengi wapo benchi hawachezi maana hawana viwango.
Still it is a good thing kwamba anakitu ndio maana wamemuona,wengi hapa hawajaonwa,so anakitu hakuna haja ya kubeza kiwango chakeAlienda kwenye majaribio akatolewa kwa mkopo mpaka anafika mbao baada ya kufeli vibaya uko PSL
Na kweli🙏🙏🙏Naona umeshachanganyikiwa Mzee,unajibu comments za watu tofauti kwenye reply yangu