Mchezaji aliyeshusha daraja timu 2 ana sifa zipi za kusajiliwa Simba ?

Kama timu inasajili mchezaji mwenye magoli 2 michezo 48 tena wa kigeni iweje kwa mzawa tena mwenye magoli 6 mechi 15?
Kwani bigirimana ni striker au kiungo mkabaji? Naomba maelezo mzee mbumbu.
Mkude ana goal ngapi mpk sasa......
Lwanga ana goal ngapi mpk sahivi.....
 
Football sio mchezo wa individuals, hivyo unavyosema mchezaji aliyeshusha daraja timu mbili simply unakuwa hujui umeandika kitu gani.
 
Yes yuko shallow sana.
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
 
Una miaka mingapi? kichwa chako hakina wazo jipya ni kuhamisha comment moja kwenye kila thread!
 
Hapana me naona tatizo si ugalasa wa hawa wachezaji, ila mentality yao maana mbna wanapotoka wanakua wazuri tuu ila wakifika pale wanabweteka ama kukata tamaa na kukaa benchi kidogo mwishowe kiwango kinakufa.
Tatizo Viongozi wa Simba hawatafuti talent Bali wao wasajili tu, leo wachezaji wengi wapo benchi hawachezi maana hawana viwango.
 
Alienda kwenye majaribio akatolewa kwa mkopo mpaka anafika mbao baada ya kufeli vibaya uko PSL
Still it is a good thing kwamba anakitu ndio maana wamemuona,wengi hapa hawajaonwa,so anakitu hakuna haja ya kubeza kiwango chake
 
Back
Top Bottom