GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwahiyo baada ya Kumkosa Mchezaji mliyekuwa mnamtaka mno na mmemsotea sana aitwae Zougrana wa Asec Abidjan FC na sasa Kasajiliwa USM Algers ili Kuwazuga Mashabiki wenu mmeamua Kusajili Wachezaji Wawili kutoka Asec Abidjan FC akiwemo huyu Zoa Zoa wenu?
Na kwa jinsi hizo Maliwato za Avic Town Kigamboni zinavyochafuliwa hovyo na akina Mwamnyeto, Job, Mauya, Kibwana na Mzize huyu Mchezaji wenu mpya Zoa Zoa atayazoa kweli kweli hadi Kujuta kwanini kaja Tanzania kujiunga nanyi.
Kudadadeki.....!!